Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.


 
HomeHome  FAQFAQ  SearchSearch  RegisterRegister  Log inLog in  

Share | 
 

 Mashindano ya urembo nchini yatumike pia kukuza utamaduni wa lugha

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
avatar

Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

PostSubject: Mashindano ya urembo nchini yatumike pia kukuza utamaduni wa lugha   Fri Jun 08, 2012 3:10 pm

Na Gadi Solomon

TUSIKUBALI. Inafaa Watanzania tutambue kwamba lugha ni sehemu ya utamaduni unaoweza kulitambulisha taifa letu nje ya mipaka yetu.

Ndiyo maaana kumekuwapo na Baraza la Kiswahili la Taifa (Bakita) linalosimamia na kuratibu mambo mbalimbali yanayohusiana na lugha ya Kiswahili ndani na nje ya Tanzania.

Ieleweke wazi kwamba chombo hiki kinafanya kazi ya umma na siyo kwa ajili ya wasomi peke yao kama wengi wanavyodhani.

Miaka ya hivi karibuni kumekuwapo na mwamko wa mashindano haya maarufu kama Miss Tanzania ambayo mwaka huu yanafahamika kama Redd’s Miss Tanzania ambayo kwa sasa yamejitanua zaidi katika ngazi ya vitongoji.

Soma zaidi HAPA
Back to top Go down
http://safari.darkbb.com
 
Mashindano ya urembo nchini yatumike pia kukuza utamaduni wa lugha
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: General Forums :: Uchambuzi / Makala na Nyaraka-
Jump to: