Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.
Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.
Safari Forums
Would you like to react to this message? Create an account in a few clicks or log in to continue.


 
HomeHome  SearchSearch  Latest imagesLatest images  RegisterRegister  Log inLog in  

 

 Wilaya ya Bariadi

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
Admin


Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

Wilaya ya Bariadi Empty
PostSubject: Wilaya ya Bariadi   Wilaya ya Bariadi Icon_minitimeTue Jun 05, 2012 10:25 pm

Wilaya ya Bariadi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Simiyu, Bariadi ni makao makuu ya mkoa wa Simiyu. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 605,509.

Kata za Wilaya ya Bariadi: Tembelea kurasa zake

Bariadi | Bumera | Bunamhala | Chinamili | Dutwa | Gamboshi | Ikungulyabashashi | Kasoli | Kinang’weli | Lagangabilili | Lugulu | Mbita | Mhango | Mhunze | Mwadobana | Mwamapalala | Mwaswale | Mwaubingi | Nkololo | Nkoma | Nyakabindi | Sagata | Sakwe | Sapiwi | Somanda | Zagayu

Kama una habari yeyote kuhusu wilaya hii unaweza kuandika na kupost kwenye kisanduku hapo chini.

Wabeja getegete.
Back to top Go down
https://safari.darkbb.com
 
Wilaya ya Bariadi
Back to top 
Page 1 of 1
 Similar topics
-
» Mbunge wa Bariadi Magharibi
» Mbunge wa Bariadi Mashariki
» Wilaya ya Nyamagana
» Wilaya ya Butiama
» Wilaya ya Meatu

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: All about Lake Zone :: Regions/Mikoa :: Mkoa wa Simiyu :: Wilaya ya Bariadi-
Jump to: