Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.


 
HomeHome  FAQFAQ  SearchSearch  RegisterRegister  Log inLog in  

Share | 
 

 Wilaya ya Bukoba Vijijini

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
avatar

Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

PostSubject: Wilaya ya Bukoba Vijijini   Tue Jun 05, 2012 10:56 pm

Wilaya ya Bukoba Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 395,130.

Mwaka 2007 wilaya mpya ya Misenyi iliundwa kutokana na maeneo ya Bukoba vijijini.

Kata zifuatazo bado ni pamoja na zile za wilaya mpya ya Misenyi.

Buhendangabo | Bujugo | Buterankuzi | Buyango | Gera | Ibwera | Ishozi | Ishunju | Izimbya | Kaagya | Kaibanja | Kanyangereko | Kanyigo | Karabagaine | Kasharu | Kashenye | Katerero | Katoma | Katoro | Kibirizi | Kikomero | Kilimilile | Kishanje | Kyamuraile | Maruku | Mikoni | Nyakato | Nyakibimbili | Rubafu | Rubale | Ruhunga | Ruzinga
Back to top Go down
http://safari.darkbb.com
 
Wilaya ya Bukoba Vijijini
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: All about Lake Zone :: Regions/Mikoa :: Mkoa wa Kagera :: Wilaya ya Bukoba Vijijini-
Jump to: