Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.


 
HomeHome  FAQFAQ  SearchSearch  RegisterRegister  Log inLog in  

Share | 
 

 Wilaya ya Rorya

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
avatar

Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

PostSubject: Wilaya ya Rorya   Wed Jun 06, 2012 8:05 am

Rorya ni wilaya mpya katika mkoa wa Mara. Hadi 2006 ilikuwa sehemu ya magharibi ya wilaya ya Tarime. Makao Makuu ya Wilaya ya Rorya ni Ingri Juu.

Eneo la wilaya liko kati ya ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi na Tarime upandwe wa mashariki. Upande wa kaskazini inapakana na Nchi ya Kenya na upande wa kusini wilaya ya Musoma.

Wakazi walio wengi ni Waluo.

Kata za wilaya ya Rorya: Tembelea kurasa zake

Bukura | Bukwe | Goribe | Ikoma | Kigunga | Kirogo | Kisumwa | Kitembe | Komuge | Koryo | Kyang’ombe | Mirare | Mkoma | Nyahongo | Nyamagaro | Nyamtinga | Nyamunga | Nyathorogo | Rabuor | Roche | Tai
Back to top Go down
http://safari.darkbb.com
 
Wilaya ya Rorya
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: All about Lake Zone :: Regions/Mikoa :: Mkoa wa Mara :: Wilaya ya Rorya-
Jump to: