Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.


 
HomeHome  FAQFAQ  SearchSearch  RegisterRegister  Log inLog in  

Share | 
 

 Wilaya ya Serengeti

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
avatar

Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

PostSubject: Wilaya ya Serengeti   Wed Jun 06, 2012 8:13 am

Wilaya ya Serengeti ni wilaya moja ya Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 176,609.

Sehemu kubwa ya wilaya ni eneo la hifadhi ya Serengeti iliyo mashuhuri kote duniani.

Makao makuu ya wilaya yapo Mugumu mjini.

Kata za wilaya ya Serengeti: Tembelea kurasa zake

Busawe | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Manchira | Mugumu mjini | Natta | Nyamatare | Nyambureti | Nyamoko | Rigicha | Ring’wani | Rung’abure
Back to top Go down
http://safari.darkbb.com
 
Wilaya ya Serengeti
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: All about Lake Zone :: Regions/Mikoa :: Mkoa wa Mara :: Wilaya ya Serengeti-
Jump to: