Wilaya ya Misenyi ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Ilianzishwa mwaka 2007 kutokana na maeneo ya wilaya ya Bukoba Vijijini.
Wilaya hii ilitengwa mwaka 2007 na maeneo ya Wilaya ya Bukoba Vijijini. Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Misenyi saidia kutuhabarisha.
UTAWALA NA UWAKILISHI WA WANANCHI
Halmashauri ya Wilaya ina Tarafa 2, Kata 17, vijiji 74 na vitongoji 351. Kuna jimbo moja la uwakilishi Bungeni (Nkenge); Wilaya ina Madiwani 23 na Mbunge 1, kati ya madiwani hao 17 ni wa kuchaguliwa kutoka kwenye Kata na 5 ni kutokana na Viti Maalum.
Kata za wilaya ya Misenyi: Tembelea kurasa zake
Kitobo | Bwanjai | Bugandika | Bugorora | Kyaka | Bunazin | Kakunyu | Kasambya | Minziro | Nsunga