Wilaya ya Karagwe ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 425,476.
Wilaya hii inajumlisha sehemu kubwa ya utemi wa Karagwe ya Kale yenye historia ya karne nyingi.
Kata za wilaya ya Karagwe: Tembelea kurasa zake
Bugene | Bugomora | Bweranyange | Igurwa | Ihanda | Ihembe | Isingiro | Kaisho | Kamuli | Kayanga | Kibingo | Kibondo | Kihanga | Kimuli | Kiruruma | Kituntu | Kyerwa | Mabira | Murongo | Ndama | Nkwenda | Nyabiyonza | Nyaishozi | Nyakahanga | Nyakakika | Nyakasimbi | Rugu | Rwabwere