Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.


 
HomeHome  FAQFAQ  SearchSearch  RegisterRegister  Log inLog in  

Share | 
 

 Wilaya ya Musoma Mjini

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
avatar

Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

PostSubject: Wilaya ya Musoma Mjini   Wed Jun 06, 2012 8:07 am

Musoma ni mji wa Tanzania uliopo kando ya mashariki ya Ziwa Viktoria inapakana na Wilaya ya Rorya kwa upande wa Kaskazini. Ni makao makuu ya Mkoa wa Mara. Musoma ina Halmashauri mbili ambazo ni Halmashauri ya Manispaa ya Musoma na Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242.

Kata za Manispaa ya Musoma: Tembelea kurasa zake

Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Makoko | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho.
Back to top Go down
http://safari.darkbb.com
 
Wilaya ya Musoma Mjini
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: All about Lake Zone :: Regions/Mikoa :: Mkoa wa Mara :: Wilaya ya Musoma Mjini-
Jump to: