Safari Forums
Karibu kwenye mtandao wa jamii, ni bure kabisa kuutumia ILA kabla ya ku post topic yeyote au ku comment unatakiwa kujisajili.

Ni rahisi sana tunachohitaji ni kuandika email yako na username tu.


 
HomeHome  FAQFAQ  SearchSearch  RegisterRegister  Log inLog in  

Share | 
 

 Wilaya ya Bukoba Mjini

Go down 
AuthorMessage
Admin
Admin
avatar

Posts : 100
Points : 310
Reputation : 0
Join date : 2012-06-04

PostSubject: Wilaya ya Bukoba Mjini   Tue Jun 05, 2012 10:55 pm

Bukoba ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221.

Bukoba iko kando la Ziwa Viktoria Nyanza upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.

Kata za Bukoba Mjini

Bakoba | Bilele | Buhembe | Hamugembe | Ijuganyondo | Kagondo | Kahororo | Kashai | Kibeta | Kitendaguro | Miembeni | Nshambya | Nyanga | Rwamishenye
Back to top Go down
http://safari.darkbb.com
 
Wilaya ya Bukoba Mjini
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Safari Forums :: All about Lake Zone :: Regions/Mikoa :: Mkoa wa Kagera :: Wilaya ya Bukoba Mjini-
Jump to: